Smith, Joseph F. Rais wa sita wa Kanisa; mwana pekee wa Hyrum na Mary Fielding Smith. Alizaliwa Novemba 13, 1838 na alikufa Novemba 19, 1918. Joseph F. Smith alipata ono la ukombozi wa wafu, M&M 138.