Misaada ya Kujifunza
Yeroboamu


Yeroboamu

Katika Agano la Kale, Yeroboamu alikuwa mfalme wa kwanza wa upande wa kaskazini ya Israeli iliyogawanyika. Alikuwa mshirika wa kabila la Efraimu. Yeroboamu mwovu aliongoza uasi dhidi ya nyumba ya Yuda na familia ya Daudi.