Misaada ya Kujifunza
Kimball, Spencer W.


Kimball, Spencer W.

Rais wa kumi na mbili wa Kanisa tangu lilipoanzishwa katika mwaka 1830. Spencer W. Kimball alitumikia kama Rais kutoka Desemba 1973 hadi Novemba 1985. Alizaliwa katika mwaka 1895 na alifariki katika mwaka 1985 akiwa na umri wa miaka tisini.