Misaada ya Kujifunza
Neno la Mungu


Neno la Mungu

Mafundisho, amri, au ujumbe kutoka kwa Mungu. Watoto wa Mungu wanaweza kulipata neno Lake moja kwa moja kwa njia ya ufunuo kupitia Roho au kutoka kwa watumishi Wake wateule (M&M 1:38).

Chapisha