Msaada wa Masomo
Ushuhuda


Ushuhuda

Ufahamu na ushahidi wa kiroho unaotolewa na Roho Mtakatifu. Ushuhuda pia waweza kuwa tamko rasmi au la kisheria juu ya kile ambacho mtu hukiona kama kweli (M&M 102:26).