Misaada ya Kujifunza
Gadi Mwonaji


Gadi Mwonaji

Nabii na rafiki mwaminifu na mshauri wa Daudi katika Agano la Kale (1 Sam. 22:5; 2 Sam. 24:11–19). Yeye aliandika kitabu cha matendo ya Daudi, ambacho kimekuwa maandiko yaliyopotea (1 Nya. 29:29).