Misaada ya Kujifunza
Bath-sheba


Bath-sheba

Mke wa Uria; baadaye, mke wa Daudi na mama wa Suleimani. Mfalme Daudi alitenda uzinzi pamoja naye. Pia alipanga ili mume wake auawe vitani (2 Sam. 11), dhambi ambayo ilikuwa na madhara ya kudumu kwa Daudi (M&M 132:39).