Misaada ya Kujifunza
Neno la Hekima


Neno la Hekima

Sheria ya afya iliyofunuliwa na Bwana kwa ajili ya manufaa ya kimwili na ya kiroho ya Watakatifu (M&M 89). Imekuwa ni kawaida kuiita kama Neno la Hekima. Bwana daima amekuwa akiwafundisha wafuasi wake kanuni za afya. Bwana alimfunulia Joseph Smith ni vyakula vya aina gani wale na vipi waviepuke, sambamba pamoja na ahadi ya baraka za kimwili na kiroho kwa kutii Neno la Hekima.