Misaada ya Kujifunza
Samsoni


Samsoni

Katika Agano la Kale, ni mwamuzi wa Kumi na Mbili katika “waamuzi” wa Israeli. Yeye alijulikana kwa ajili ya nguvu zake kuu za kimwili, lakini hakuwa na busara katika baadhi ya maamuzi na matendo ya kimaadili (Amu. 13:24–16:31).