Misaada ya Kujifunza
Bahati Nasibu


Bahati Nasibu

Njia ya kuchagua au kuondosha uchaguzi kadhaa wa chaguo, mara kwa mara unafanywa kwa kuchagua kipande cha karatasi au kipande cha ubao kutoka katika vipande vingi. Hii huitwa kupiga kura.