Misaada ya Kujifunza
Sauli, Mfalme wa Israeli


Sauli, Mfalme wa Israeli

Katika Agano la Kale, ni mfalme wa kwanza wa Israeli kabla haijagawanyika. Ingawa alikuwa mwadilifu mwanzoni mwa utawala wake, hatimaye akawa amejaa kiburi na akawa siyo mtiifu kwa Mungu (1 Sam. 9–31).