Misaada ya Kujifunza
Kaisari


Kaisari

Katika Agano Jipya, ni cheo ambacho baadhi ya wafalme wa Kirumi walijulikana. Nacho hutumika katika maandiko kama ishara ya serikali za kiulimwengu au nguvu.