Misaada ya Kujifunza
Dameski


Dameski

Mji wa kale wa Shamu.

Dameski husimama juu ya uwanda wenye rutuba ukingoni mwa jangwa na humwagiliwa vyema kwa maji ya mto Barada. Umetajwa mara nyingi katika maandiko (kuanzia Mwa. 14:15). Paulo alikuwa katika safari yake ya kwenda Dameski wakati alipotokewa na Bwana mfufuka (Mdo. 9:1–27; 22:5–16; 26:12–20).