Misaada ya Kujifunza
Zoramu, Wazoramu


Zoramu, Wazoramu

Katika Kitabu cha Mormoni, alikuwa mtumishi wa Labani ambaye aliungana pamoja na Nefi na Lehi kuja katika nchi ya ahadi (1 Ne. 4:31–38). Kwa sababu ya uaminifu wa Zoramu, Lehi alimbariki pamoja na wanawe Lehi mwenyewe (2 Ne. 1:30–32). Wazao wake walijulikana kama Wazorami (Yak. [KM] 1:13).