Misaada ya Kujifunza
Mbegu ya Haradali


Mbegu ya Haradali

Mbegu za mche wa haradali. Ingawa mbegu ni ndogo sana, lakini urefu wa mmea unaokua kutokana nayo ni mkubwa sana. Yesu alilinganisha ufalme wa mbinguni na mbegu ya haradali (Mt. 13:31).