Misaada ya Kujifunza
Pelegi


Pelegi

Katika Agano la Kale, ni mwana wa Eberi na mwana kitukuu wa Shemu. Katika siku zake dunia iligawanyika (Mwa. 10:22–25).