Misaada ya Kujifunza
Zeezromu


Zeezromu

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwanasheria katika Mji wa Amoniha. Alma na Amuleki walitambua kwa njia ya Roho kwamba Zeezromu alikuwa akidanganya. Hatimaye aliongolewa katika injili ya Kristo (Alma 11:21–46; 15:1–12).