Msaada wa Masomo
Wanafunzi Watatu wa Kinefi
iliyopita inayofuata

Wanafunzi Watatu wa Kinefi

Watatu kati ya wanafunzi wa Kinefi waliochaguliwa na Kristo waliotajwa katika Kitabu cha Mormoni.

Bwana aliwapa wanafunzi hawa baraka ile ile aliyompatia Yohana Kipenzi—kwamba wapate kubaki duniani ili kuzileta Roho kwa Kristo hadi Bwana atakapokuja tena. Wao walibadilishwa ili wasife ili wasisikie maumivu na wasife (3 Ne. 28).