Misaada ya Kujifunza
Lugha


Lugha

Maneno, yaliyoandikwa au kunenwa, yaliyowekwa pamoja katika mpangilio maalumu ili kuwasilisha taarifa, mawazo, au hoja. Namna tunavyoitumia lugha huonyesha hisia zetu kwa Mungu na kwa watu wengine. Wakati wa Ujio wa Pili wa Yesu Kristo Bwana ataitoa kwa wanadamu wote lugha iliyo safi (Sef. 3:8–9).