Misaada ya Kujifunza
Asheri


Asheri

Katika Agano la Kale, ni mwana wa Yakobo na Zilpa, mjakazi wa Lea (Mwa. 30:12–13).

Kabila la Asheri

Yakobo akambariki Asheri (Mwa. 49:20), na Musa akawabariki wazao wa Asheri (Kum. 33:1, 24–29). Wazao hawa waliitwa “watu hodari wa vita” (1 Nya. 7:40).