Misaada ya Kujifunza
Lehi, Mmisionari wa Kinefi


Lehi, Mmisionari wa Kinefi

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwanawe Helamani, aliyekuwa mwana wa Helamani. Lehi alikuwa mmisionari mkuu (Hel. 3:21; 4:14).