Misaada ya Kujifunza
Yethro


Yethro

Mwana mfalme na kuhani wa Midiani katika Agano la Kale aliyempa makazi Musa baada ya Musa kutoroka kutoka Misri. Pia anaitwa Reueli (Ku. 2:18). Baadaye Musa alioa binti wa Yethro aliyeitwa Zipora (Ku. 3:1; 4:18; 18:1–12). Yethro alimfundisha Musa kunaibisha mamlaka, (Ku. 18:13–27). Musa alipokea Ukuhani wa Melkizedeki kutoka kwa Yethro (M&M 84:6–7).