Misaada ya Kujifunza
Uzima wa Milele


Uzima wa Milele

Kuishi milele kama familia katika uwepo wa Mungu (M&M 132:19–20, 24, 55). Uzima wa milele ndiyo tuzo kuu zaidi ya Mungu kwa mwanadamu.