Misaada ya Kujifunza
Wakristo


Wakristo

Jina lililotolewa kwa waumini wa Yesu Kristo. Ingawa neno hili hutumika sana kote ulimwenguni, Bwana huwaita wafuasi wa kweli wa Kristo kama Watakatifu. (Mdo. 9:13, 32, 41; 1 Kor. 1:2; M&M 115:4).