Misaada ya Kujifunza
Ulimi


Ulimi

Ishara ya kunena. Watakatifu wazuie ndimi zao, maana yake ni kwamba wazuie kunena kwao. Ulimi pia una maana ya lugha na watu. Hatimaye, kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kwa Mungu (Isa. 45:23; Rum. 14:11).