Misaada ya Kujifunza
Pratt, Orson


Pratt, Orson

Mmoja wa Mitume Kumi na Wawili wa kwanza walioitwa baada ya Urejesho wa Kanisa katika nyakati za sasa (M&M 124:128–129). Alikuwa amekuwa muumini wa Kanisa kwa wiki sita tu wakati Bwana alipotoa ufunuo kwake kupitia Joseph Smith (M&M 34). Orson Pratt pia alikuwa mmisionari wa Kanisa (M&M 52:26; 75:14) na alitumikia kama mtunza historia ya Kanisa kwa miaka kadhaa.

Chapisha