Misaada ya Kujifunza
Iba, Wizi


Iba, Wizi

Kuchukua kitu fulani kutoka kwa mtu mwingine kinyume cha uaminifu au kinyume cha sheria. Bwana daima amewaamuru watoto Wake kuwa wasiibe (Ku. 20:15; Mt. 19:18; 2 Ne. 26:32; Mos. 13:22; M&M 59:6).