Misaada ya Kujifunza
Bendera


Bendera

Katika maandiko ni bendera au kiwango ambacho watu hukusanyika katika umoja wa dhamira au kufunganishwa. Katika nyakati za kale bendera ilitumika kama kambi ya kukusanyika askari katika vita. Kitabu cha Mormoni na Kanisa la Yesu Kristo ni ishara ya bendera kwa mataifa yote ya dunia.