Misaada ya Kujifunza
Agripa


Agripa

Katika Agano Jipya, ni mwana wa Herodi Agripa Ⅰ na nduguye Bernika na Drusila. Alikuwa mfalme wa Chalsi, iliyoko katika milima ya Lebanoni. Alimsikiliza Mtume Paulo naye alikaribia kushawishika kuwa Mkristo (Mdo. 25–26; JS—H 1:24).