Misaada ya Kujifunza
Roho Mtakatifu wa Ahadi


Roho Mtakatifu wa Ahadi

Roho Mtakatifu ndiye Roho Mtakatifu wa Ahadi (Mdo. 2:33). Yeye huthibitisha matendo mema, ibada, na maagano ya wanadamu, kama yanavyokubalika kwa Mungu. Roho Mtakatifu wa Ahadi hushuhudia kwa Baba kwamba ibada za wokovu zimefanyika kiusahihi na kwamba maagano yahusianayo na hizo yameshikwa.