Msaada wa Masomo
Kesha, Walinzi
iliyopita inayofuata

Kesha, Walinzi

Kuwa macho, kujihadhari. Mtu anayekesha na kutii yu tayari na amejitayarisha. Walinzi ni viongozi walioitwa na ni wawakilishi wa Bwana na wanakuwa na wajibu maalumu kwa ustawi wa wengine. Wale walioitwa kama viongozi wana wajibu maalumu pia wa kuwa walinzi kwa ulimwengu uliobakia.