Misaada ya Kujifunza
Kitabu cha Amri


Kitabu cha Amri

Mnamo mwaka 1833, idadi ya ufunuo ulizopokea Joseph Smith Nabii zilitayarishwa kwa kuchapishwa chini ya jina A Book of Commandments for the Government of the Church of Christ. Bwana aliendelea kuwasiliana na Watumishi Wake, na mkusanyiko uliokuzwa wa ufunuo ulichapishwa miaka miwili baadaye kama Mafundisho na Maagano.