Misaada ya Kujifunza
Naomi


Naomi

Katika Agano la Kale, ni mwanamke mwaminifu na mke wa Elimeleki (Rut. 1–4). Elimeleki na Naomi walichukua familia yao kwenda Moabu ili kuepuka njaa. Baada ya Elimeleki na wanae wawili kufa, Naomi alirudi Bethlehemu pamoja na mkwewe Rutu.