Misaada ya Kujifunza
Sauti


Sauti

Kama inavyotumika katika maandiko, wakati mwingine ujumbe unaosikika ukisemwa na Bwana au wajumbe Wake. Sauti ya Roho yaweza pia kuwa isiyosikika na ikaelekezwa moyoni au akilini.