Misaada ya Kujifunza
Tomaso


Tomaso

Katika Agano Jipya, ni mmoja kati ya Mitume Kumi na Wawili wa mwanzoni waliochaguliwa na Mwokozi wakati wa huduma Yake katika mwili wenye kufa (Mt. 10:2–3; Yn. 14:5). Katika Kiyunani jina lake ni Didimo (Yn. 20:24–29; 21:2). Ingawa Tomaso alitia mashaka juu ya Ufufuko wa Yesu hadi yeye mwenyewe alipomwona Mwokozi, uaminifu wake mkubwa ulimfanya awe radhi kukabiliana na mateso na mauti pamoja na Bwana wake (Yn. 11:16; 20:19–25).