Misaada ya Kujifunza
Teule, Wateule


Teule, Wateule

Wateule ni wale ambao wanampenda Mungu kwa moyo wao wote na kuishi maisha ambayo yanampendeza Yeye. Wale wanaoishi maisha ya jinsi ya uanafunzi siku moja watachaguliwa na Bwana kuwa miongoni mwa watoto Wake waliochaguliwa.