Misaada ya Kujifunza
Lea


Lea

Katika Agano la Kale, ni binti mkubwa wa Labani na ni mmoja wa wake za Yakobo (Mwa. 29). Lea alikuja kuwa mama wa wana sita na binti mmoja (Mwa. 29:31–35; 30:17–21).