Misaada ya Kujifunza
Gamalieli


Gamalieli

Mfarisayo maarufu katika Agano Jipya aliyeijua na kuifundisha torati ya Kiyahudi. Mtume Paulo alikuwa mmoja wa wanafunzi wake (Mdo. 22:3). Yeye alikuwa mtu mwenye nguvu sana katika Sanhedrini (Mdo. 5:34–40).