Misaada ya Kujifunza
Mikaeli


Mikaeli

Jina ambalo kwalo Adamu alijulikana katika maisha mbinguni kabla ya kuzaliwa katika mwili. Yeye huitwa Malaika mkuu. Kwa Kiebrania jina hili maana yake “Aliye kama Mungu.”