Msaada wa Masomo
Injili
iliyopita inayofuata

Injili

Mpango wa Mungu wa wokovu, uliowezekana kwa njia ya Upatanisho wa Yesu Kristo. Injili inajumuisha kweli za milele au sheria za milele, maagano, na ibada zilizohitajika kwa mwanadamu kuingia tena katika uwepo wa Mungu. Mungu alirejesha utimilifu wa injili duniani katika karne ya 19 kupitia Joseph Smith Nabii.