Taarifa au ushahidi mwingine kwamba jambo fulani ni la kweli; ushuhuda. Shahidi anaweza pia kwani mtu fulani anayetoa taarifa juu ya jambo au ushahidi unaotokana na ufahamu wake; maana yake, ni mtu anayetoa ushuhuda.
Injili itahubiriwa ulimwenguni kote kama ushuhuda kwa mataifa yote, Mt. 24:14 (JS—M 1:31 ).
Mtakuwa mashahidi kwangu, Mdo. 1:8 .
Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, Rum. 8:16 (1Â Yoh. 5:6 ).
Mko radhi kusimama kama mashahidi wa Mungu nyakati zote, Mos. 18:8–9 .
Tunapokea sakramenti ili kushuhudia kwa Baba kwamba tutazishika amri na daima tutamkumbuka Yesu, 3 Ne. 18:10–11 (Moro. 4–5 ; M&M 20:77–79 ).
Hampati ushahidi hadi baada ya majaribu ya imani yenu, Eth. 12:6 .
Sheria ya mashahidi: katika vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno litathibitika, M&M 6:28 (Kum. 17:6 ; Mt. 18:16 ; 2Â Kor. 13:1 ; Eth. 5:4 ; M&M 128:3 ).
Nimewatawaza kuwa Mitume na mashahidi maalumu wa jina langu, M&M 27:12 (M&M 107:23 ).
Sabini wameitwa ili kuwa mashahidi maalumu kwa Wayunani na ulimwenguni kote, M&M 107:25 .
Acha awepo na mwandishi, naye awe shahidi wa ubatizo wenu kwa kuona kwa macho, M&M 127:6 (M&M 128:2–4 ).