Misaada ya Kujifunza
Utambuzi, Kipawa cha


Utambuzi, Kipawa cha

Kufahamu au kujua kitu fulani kwa njia ya uwezo wa Roho. Kipawa cha utambuzi ni moja ya vipawa vya Roho. Inajumuisha kutambulika kwa tabia za kweli za watu na chanzo na maana ya maonyesho ya kiroho.