Misaada ya Kujifunza
Helamani, Wana wa


Helamani, Wana wa

Katika Kitabu cha Mormoni, ni wana wa Walamani walioongolewa waliojulikana kama Waamoni ambao walikuwa askari wa vita chini ya uongozi wa Helamani (Alma 53:16–22).