Misaada ya Kujifunza
Nabii Mwanamke


Nabii Mwanamke

Mwanamke ambaye amepokea ushuhuda wa Yesu na anayo roho ya ufunuo. Nabii mwanamke hana ukuhani wala funguo zake. Ingawa ni wanawake wachache tu katika maandiko wanaitwa manabii wengi walitoa unabii, kama Rebeka, Ana, Elisabeti, na Maria.