Misaada ya Kujifunza
Yaredi


Yaredi

Kiongozi katika Kitabu cha Mormoni ambaye, pamoja na kaka yake, waliwaongoza kikundi cha watu kutoka Mnara wa Babeli hadi nchi ya ahadi katika bara la Marekani (Eth. 1:33–2:1).