Misaada ya Kujifunza
Young, Brigham


Young, Brigham

Mtume wa mwanzoni kabisa katika kipindi hiki na Rais wa pili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Aliwaongoza Watakatifu kwenda upande wa magharibi kutoka Nauvoo, Illinois, kwenda bonde la Salt Lake na alikuwa mwasisi mkubwa wa miji mipya katika muungano wa magharibi mwa Mataifa ya Marekani.