Misaada ya Kujifunza
Sadaka, Utoaji sadaka


Sadaka, Utoaji sadaka

Zawadi kwa Bwana. Agano la Kale mara kwa mara lilitumia neno hili ili kumaanisha dhabihu au sadaka ya kuteketeza. Kanisa leo huitumia sadaka ya mfungo na sadaka nyingine za hiari (ikijumuisha muda, vipaji, na mali) ili kuwasaidia maskini na kwa makusudi mengine yaliyo bora.