Msaada wa Masomo
Kiapo
iliyopita inayofuata

Kiapo

Kama linavyotumika katika maandiko, kwa kawaida hili ni agano takatifu au ahadi takatifu. Hata hivyo, watu waovu, pamoja na Shetani na malaika wake, pia hufanya viapo ili kutimiza nia zao ovu. Katika nyakati za Agano la Kale viapo vilikubalika; hata hivyo, Yesu Kristo alifundisha kwamba watu wasiape katika jina la Mungu au viumbe Vyake (Mt. 5:33–37).