Misaada ya Kujifunza
Zefania


Zefania

Nabii wa Agano la Kale aliyeishi wakati wa utawala wa Yosia (639–608 K.K.).

Kitabu cha Zefania

Mlango wa 1 unazungumzia juu ya siku ile inayokuja itajawa na ghadhabu na matatizo. Mlango wa 2 unawaonya watu wa Israeli kutafuta haki na uvumilivu. Mlango wa 3 unasimulia juu ya Ujio wa Pili wakati mataifa yote yatakapokusanyika kwa ajili ya vita. Bwana, hata hivyo, atatawala katikati yao.