Misaada ya Kujifunza
Phelps, William W.


Phelps, William W.

Muumuni na kiongozi wa mwanzo katika Kanisa baada ya kurejeshwa katika mwaka 1830. Bwana alimwita William Phelps kuwa mpiga chapa wa Kanisa (M&M 57:11; 58:40; 70:1).